Wamachinga wapo dunia nzima.Niliwahi kuwaona downtown Istanbul enaeo linaitwa Lareli mjini katikati cha ajabu nchi zingine machinga ni vijana lakini Istanbul asilimia kubwa ni Wazee na wanatimua mbio hao wakiona polisi !
Hata Dubai wamachinga wapo .Sasa hapo ndo utashangaa asilimia kubwa ya machinga wa Dubai ni Wachina !