NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
Ahsante mkuu nahamia RC hawa walokole ni wapiga kelele sanaHahahaha karibu Roman Catholic hatuna hizo mambo mkuu
Tatizo demokrasia mkuu..ndo chanzo cha haya yote....Mambo mengine ni magumu kuyatafakari kwa akili ya kiubinadamu!hivi kwa nini Mungu aliruhusu shetani aishi?tungeanza na hilo kwanza.
Mkuu huo msamiati kwa Mungu upo kweli?Tatizo demokrasia mkuu..ndo chanzo cha haya yote....
Nako kuna Miracle HunterHahahaha karibu Roman Catholic hatuna hizo mambo mkuu
Ndo kanuni yake...na ndo mana unaruhusiwa kufanya maamuzi uyatakayo...kuwa mzinzi, muuaji, mchawi n.k au kuwa mwema na mwaminifu...uchaguzi ni wako....na ndo mana tupo watu wa kila aina duniani na wote tunadunda kama kawaMkuu huo msamiati kwa Mungu upo kweli?
Hilo la kudunda halijanishawishi sana mkuu,maana adhabu yake ipo tu.Ndo kanuni yake...na ndo mana unaruhusiwa kufanya maamuzi uyatakayo...kuwa mzinzi, muuaji, mchawi n.k au kuwa mwema na mwaminifu...uchaguzi ni wako....na ndo mana tupo watu wa kila aina duniani na wote tunadunda kama kawa
Afadhali Wewe SAA 11 alfajir hapa jirani yangu huanza saa 7au 8 usiku hadi saa 11 alfajir nimikelele tuuu....Nina jirani yangu ana mikelele balaa,kila asubuhi wanakuja walokole wenzake,wakianza asubuhi 11 afrajiri mpaka saa moja asubuhi.....
Safi mkuu 1 korinto 1:18Neno la msalaba kwa wanaopotea ni upuuzi mtupu bali kwetu ni nguvu
Kwani kuwa mwema ndo kukera wengine! "OLE WAO WAUGEUZAO USIKU KUWA MCHANA"Ndo kanuni yake...na ndo mana unaruhusiwa kufanya maamuzi uyatakayo...kuwa mzinzi, muuaji, mchawi n.k au kuwa mwema na mwaminifu...uchaguzi ni wako....na ndo mana tupo watu wa kila aina duniani na wote tunadunda kama kawa
Hao nao wanaabudu masanamu unakuta libaba lizima na ndevu zake limapiga magoti mbele ya sanamu eti linaomba, wote niwale wale.Hahahaha karibu Roman Catholic hatuna hizo mambo mkuu
Hao ni kuwatafutia bakora tu.!!....Nina jirani yangu ana mikelele balaa,kila asubuhi wanakuja walokole wenzake,wakianza asubuhi 11 afrajiri mpaka saa moja asubuhi.....