Walokole sijui mnakwama wapi?

Unafiki wako unakufanya uingie ulokole ili kumhadaa mtumishi wa Mungu afu utegemee mema? Shetani yuko kazini ila mabaya yote upatayo chanzo ni wewe mkuu.
Okoka kiukweli uwe mtumishi acha kuigiza fanya kulitii neno kwelikweli (total submission to Jesus).
 
Yayani kwa kifupi ww ndo ULIKWAMA coz umekubali visa hivyo vikukute,mi nilitegemea kuwa utamchomoa binti wa kilokole kumbe umechomolewa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Yohana 17:17

Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.

warumi 12 :1-2

Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.

Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.



Waefeso 4 : 13-15

Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo; ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu. Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kwa mistari hiyo hapo juu utaona kwamba baada ya mtu kuokoka anatakiwa asome Neno la Mungu (Biblia) ili kuigeuza nafsi (Battle field) yake iliyokuwa hapo awali inatumika kwa mambo ya giza. Hili zoezi linachukua muda kulingana na jinsi mtu alivyodhamiria kumfuata Kristo. Hata hivyo niseme tu kwamba hao mabinti waliokuvuta kanisani ili yamkini uwaoe baadaye wanaweza kuwa genuine (wakristo wa kweli) walio desperate kuolewa au wasiokoka waliopo kanisani ambao wanajaribu wanajaribu kutumia mwavuli wa kanisa kuolewa. Ningefurahi kama ungedadavua kwa kirefu ulichomaanisha uliposema mna mahusiano.



Ahsante
 
Nilitaka nikomenti , ila umeyawakilisha mawazo yangu vyema.
Yesu asifiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Ukweli ni kuwa walokole wengi wao ni watu wa hovyo sana,.ni wanafki,wanakiburi,majivuno,majungu,waanajisikia...kiufupi wana roho ya mpinga kristo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka umeleta uzi ili tuwasengenye bila shtaka linaloeleweka. Kwa yoyote ulivyotendwa unastahili, Katika jamii ukiona wengi wamekutenda ujue ww ndie mwenye matatizo. Kwanza si ufahari kujisifu nimekuwa katika mahusiano na walokole kadhaa, wewe ni kivuruge ulitaka uwatumie ukidhani imanj yao ndio ngazi yako. Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo nyegez mkuu..wala mimi simo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh unasema na wewe uliokoka...uka-date na walokole watano!!!!

Si ajabu tatizo liko kwako kwa kudhani walokole Ni malaika na ukashindwa kusimama kwenye zamu yako. Unaona mapungufu ya hao wa5 halafu wewe upo perfect!!!!
Viswaswadu tu! Wote sim za maboya kila saa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ntamalizia kusoma kesho! Ndef sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…