July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Hbr,
niliwah nunua betri la simu lenye waranty kwa buku 20 bt linawah kuisha mapema, (8hourz). Katika pita pita kuulizia madukani nakutana na yenye chata "discovery", zungusha macho sioni chata ya nokia.. Je hii kitu ni orijino au ndo kuingzwa cha kike, au wenzangu wenye smart phones, tatizo ni betri au simu yenyewe,?maana nackia huwa hazitnzi chaji hata betri likiwa jipya na orijino.
natmia N97 mini.
Tnx