Wallah...! Waarabu wamepinda

Kichwani kachanganya hashish ya Casablanca na ile kitu ya Kandahar!
 
Picha ya kujifariji hiyo baada ya kuwashindwa kwa face to face ikabidi waje na ushindi wa kivuli aka mchoro
 
ha ha ha,walishapinda siku nyingi sana hao
 
Wapumbavu tu hao, wenyewe kwa wenyewe wanagombanishwa na Marekani anaenda kubeba mafuta. Sasa ujanja wao uko wapi!? Kukojolea picha wakati wenzao wananufaika sana na mafuta yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…