Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Dec 8, 2015 #1 Wadau wa jamvi hili. Habarini za muda huu. Ninaomba kama kuna mtu anayejua sehemu hapa Dar panapouzwa speaker za ukutani au za kwenye ceiling board hapa Dar aniambie.
Wadau wa jamvi hili. Habarini za muda huu. Ninaomba kama kuna mtu anayejua sehemu hapa Dar panapouzwa speaker za ukutani au za kwenye ceiling board hapa Dar aniambie.