Walipofungwa Yona na Mramba, Mnyika ulilalamika sana. Sasa wameachiwa utasherehekea nao, aibu

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
WAKATI YONA NA MRAMBA WANAPEREKWA JERA NAKUMBUKA Mnyika aliita vyombo vya habari na kupinga hukumu yao kuwa hawakutendewa haki pia serikali haijatenda haki na kushauri na wengine mafisadi wafungwe.

Lakini kwa MTU aliyeenda shule alielewa kuwa Mnyika alilenga kupinga kuchukuliwa hatua Mramba na Yona lakini akamalizia kwa kibwagizo cha kushauri na wengine wafungwe.

Nilimshanga kijana huyu aliyejiita mpinga vita ufisadi kwa kupaza sauti kuwatetea Mramba na Yona nilichotegemea kwake ni kupinga aina ya adhabu kuwa ndogo.

Naamini kwa sasa amefurahi sana,
Ili unafiki wa aina hii kwa wanasiasa ni upuuzi mtupu.
 
B
Hoja ya mleta mada ni nini,naona povu tu.em weka video ya Mnyika hapa
Bahati mbaya kisimu changu ni kidogo lakini ingia kwenye tovuti ya chadema utaikuta kauri ya mnyika zaidi ya hukumu ya mramba na yona
 
mtoa maada hueleweki
Unampinga mnyika?
Unatoa taarifa ya kina mramba kuachiwa?
Una taka nini yaani?
Ina maana huwajui Wanasiasa wanavobadilika kutegemea na wapi wata hit na hasa hao machagadema
 
Penye ukweli uongo hujitenga.Mnyika alikuwa sahihi....haki aliyosema imetendeka.Mleta mada una tatizo na hilo?Mnyika alitaka utawala wa sheria na haki sawa kwa wote.Kwani yule aliyeibiwa laptop zenye nyaraka za serikali kule Morogoro alifanyiwa mini?au kwa kuwa alikuwa family friend was msoga?tens yeye alitumia madaraka kuchukua Dada poa...sembuse mramba
 
Toka Lowassa na kundi lake wainunue Chadema hatumsikii Mnyika kutoa matamko yake.
 
Back
Top Bottom