Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Kimsingi hili kundi la pili hapo juu halina uwezo wa kuitisha press conference kwa ajili ya kueleza hisia zao kama ilivyokuwa kwa baadhi ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya (Manji, Gwajima na Mbowe) waliojitokeza kueleza hisia zao! Unahisi kati ya makundi haya mawili ni kundi gani lina hasira zaidi ya kundi jingine?