Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ndio iliyowaogopesha mapaka kuahirisha?Kilimanjaro line
Du....Kilimanjaro line
Weka CV zaoPROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au la.
Maprofesa hao watatu ndiyo waliopitishwa katika mchujo wa kurithi nafasi ya Prof. Mukandala kabla ya Dk. Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa UDSM kwa kushauriana na Rais John Magufuli kuamua kumuongezea Prof. Mukandala mkataba wa mwaka mmoja zaidi wa kutumikia nafasi hiyo mpaka tarehe 5 Desemba 2017.
“Mchujo ulianza mapema mwaka jana kabla hata serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi chake hata hivyo, tuliukamilisha mwaka huu na majina matatu ndiyo yalipitishwa katika hatua ya mwisho ambapo Mkuu wa Chuo (Dk. Kikwete) alikabidhiwa ili kumpelekea rais Magufuli,” kimeeleza chanzo cha kuaminika kutoka menejimenti ya chuo hicho.
MwanaHALISI Online imebaini kuwa kulikuwa na makundi makubwa mawili, yakiwapigia chapuo zaidi Prof. Mfinanga na Prof. Mushi katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho huku Prof. Kiliani akipigiwa chapuo na kundi lililoonekana kuwa la ‘wapenda usawa wa kijinsia.’
Prof. Mfinanga ambaye kwa sasa ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo – Utawala, ndiye alikuwa akipewa nafasi kubwa zaidi kutokana na wasifu wake ‘kumbeba’, huku wakosoaji wake wakitaja “uvumilivu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia zaidi” kama sifa inayomuweka rehani katika kurithi nafasi hiyo.
Ingawa mmoja kati ya wahadhiri chuoni hapo aliyekuwa akimpigia chapuo Prof. Mfinanga amesema, “Si mkali sana kama wengi wanavyosema ila hapendi mambo yakwame bila sababu. na huyu ndiye mtu anayehitajika.”
Ni sifa hiyo ya ‘ukali’ ndiyo ilichokuwa ikifanya baadhi kumpigia chapuo Prof. Mushi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali chuoni hapo – akitajwa kama “mtulivu, msikilizaji mzuri na muumini wa maridhiano.”
Ingawa imeelezwa kuwa, “Prof. Mushi anadhaniwa kuwa mpole kwasababu nafasi yake si ya kiutawala zaidi.”
Prof. Bernadeta Kiliian ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), nafasi yake ilionekana kubebwa zaidi na uzoefu pamoja na shauku ya kuona usawa wa kijinsia katika nafasi za juu chuoni hapo.
Amewahi kushika nafasi mbalimbali chuoni hapo ikiwemo kuwa Mkuu wa Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) na kwa kipindi kirefu amekuwa Mhadhiri katika Shule ya Elimu (SoED) iliyopo chuoni hapo.
Ni mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia, akiwa kielelezo cha wanawake kuweza kusoma mpaka katika ngazi ya juu na kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
Wamesoma, we ni kabila gani, linganisha wasomi wa kabila lako na wachagaKilimanjaro line
mfinanga ni matatizo makubwa na akipewa chuo naona kazi hazitaenda kabisaBinafsi nawafahamu prof mfinanga na prof. Mushi, ambae ni director wa undergraduate studies kwa sasa. Kama ingekua ni kupiga kura nna uhakika prof Mushi angeshinda tena kwa tofauti kubwa tu
Siku hizi wasomi wamejaa tele, kila kabilaWamesoma, we ni kabila gani, linganisha wasomi wa kabila lako na wachaga
Kwa mbali naunga mkono hoja! At least kwa mbali Prof. Mushi. Kama na mwakani majina yatarudi haya haya naona tu Prof. Mkandala wampe mwaka mwingine!Kwa hao waliotajwa hapo, bora tu Prof Mukandara aongezewe miaka mingine mitano...
PROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au la.
Maprofesa hao watatu ndiyo waliopitishwa katika mchujo wa kurithi nafasi ya Prof. Mukandala kabla ya Dk. Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa UDSM kwa kushauriana na Rais John Magufuli kuamua kumuongezea Prof. Mukandala mkataba wa mwaka mmoja zaidi wa kutumikia nafasi hiyo mpaka tarehe 5 Desemba 2017.
“Mchujo ulianza mapema mwaka jana kabla hata serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi chake hata hivyo, tuliukamilisha mwaka huu na majina matatu ndiyo yalipitishwa katika hatua ya mwisho ambapo Mkuu wa Chuo (Dk. Kikwete) alikabidhiwa ili kumpelekea rais Magufuli,” kimeeleza chanzo cha kuaminika kutoka menejimenti ya chuo hicho.
MwanaHALISI Online imebaini kuwa kulikuwa na makundi makubwa mawili, yakiwapigia chapuo zaidi Prof. Mfinanga na Prof. Mushi katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho huku Prof. Kiliani akipigiwa chapuo na kundi lililoonekana kuwa la ‘wapenda usawa wa kijinsia.’
Prof. Mfinanga ambaye kwa sasa ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo – Utawala, ndiye alikuwa akipewa nafasi kubwa zaidi kutokana na wasifu wake ‘kumbeba’, huku wakosoaji wake wakitaja “uvumilivu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia zaidi” kama sifa inayomuweka rehani katika kurithi nafasi hiyo.
Ingawa mmoja kati ya wahadhiri chuoni hapo aliyekuwa akimpigia chapuo Prof. Mfinanga amesema, “Si mkali sana kama wengi wanavyosema ila hapendi mambo yakwame bila sababu. na huyu ndiye mtu anayehitajika.”
Ni sifa hiyo ya ‘ukali’ ndiyo ilichokuwa ikifanya baadhi kumpigia chapuo Prof. Mushi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali chuoni hapo – akitajwa kama “mtulivu, msikilizaji mzuri na muumini wa maridhiano.”
Ingawa imeelezwa kuwa, “Prof. Mushi anadhaniwa kuwa mpole kwasababu nafasi yake si ya kiutawala zaidi.”
Prof. Bernadeta Kiliian ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), nafasi yake ilionekana kubebwa zaidi na uzoefu pamoja na shauku ya kuona usawa wa kijinsia katika nafasi za juu chuoni hapo.
Amewahi kushika nafasi mbalimbali chuoni hapo ikiwemo kuwa Mkuu wa Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) na kwa kipindi kirefu amekuwa Mhadhiri katika Shule ya Elimu (SoED) iliyopo chuoni hapo.
Ni mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia, akiwa kielelezo cha wanawake kuweza kusoma mpaka katika ngazi ya juu na kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
PROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au la.
Maprofesa hao watatu ndiyo waliopitishwa katika mchujo wa kurithi nafasi ya Prof. Mukandala kabla ya Dk. Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa UDSM kwa kushauriana na Rais John Magufuli kuamua kumuongezea Prof. Mukandala mkataba wa mwaka mmoja zaidi wa kutumikia nafasi hiyo mpaka tarehe 5 Desemba 2017.
“Mchujo ulianza mapema mwaka jana kabla hata serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi chake hata hivyo, tuliukamilisha mwaka huu na majina matatu ndiyo yalipitishwa katika hatua ya mwisho ambapo Mkuu wa Chuo (Dk. Kikwete) alikabidhiwa ili kumpelekea rais Magufuli,” kimeeleza chanzo cha kuaminika kutoka menejimenti ya chuo hicho.
MwanaHALISI Online imebaini kuwa kulikuwa na makundi makubwa mawili, yakiwapigia chapuo zaidi Prof. Mfinanga na Prof. Mushi katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho huku Prof. Kiliani akipigiwa chapuo na kundi lililoonekana kuwa la ‘wapenda usawa wa kijinsia.’
Prof. Mfinanga ambaye kwa sasa ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo – Utawala, ndiye alikuwa akipewa nafasi kubwa zaidi kutokana na wasifu wake ‘kumbeba’, huku wakosoaji wake wakitaja “uvumilivu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia zaidi” kama sifa inayomuweka rehani katika kurithi nafasi hiyo.
Ingawa mmoja kati ya wahadhiri chuoni hapo aliyekuwa akimpigia chapuo Prof. Mfinanga amesema, “Si mkali sana kama wengi wanavyosema ila hapendi mambo yakwame bila sababu. na huyu ndiye mtu anayehitajika.”
Ni sifa hiyo ya ‘ukali’ ndiyo ilichokuwa ikifanya baadhi kumpigia chapuo Prof. Mushi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali chuoni hapo – akitajwa kama “mtulivu, msikilizaji mzuri na muumini wa maridhiano.”
Ingawa imeelezwa kuwa, “Prof. Mushi anadhaniwa kuwa mpole kwasababu nafasi yake si ya kiutawala zaidi.”
Prof. Bernadeta Kiliian ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), nafasi yake ilionekana kubebwa zaidi na uzoefu pamoja na shauku ya kuona usawa wa kijinsia katika nafasi za juu chuoni hapo.
Amewahi kushika nafasi mbalimbali chuoni hapo ikiwemo kuwa Mkuu wa Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) na kwa kipindi kirefu amekuwa Mhadhiri katika Shule ya Elimu (SoED) iliyopo chuoni hapo.
Ni mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia, akiwa kielelezo cha wanawake kuweza kusoma mpaka katika ngazi ya juu na kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
Hahaaa nadhani kuna umuhimu wa kutambua namna upatikanaji wa viongozi wa vyuo vikuu hasa UDSM ulivyo kabla ya kuleta mambo ya ukabila humuNdio iliyowaogopesha mapaka kuahirisha?