Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

Asiyejua maana haambiwi maana, staffs wa TRA wataelewa. Siwezi kuweka taarifa zozote za mamlaka hapa. Kamwe.
Ndo mana nimekwambia humu usidhani kila mtu ni mtoto unaweza mdanganya hivi vitu mnavyoandika humu muwe mnawadanganya wadogo zenu waliopo chuo huko...ndo mana nimekwambia huo mshahara ni mkubwa sana pili ni mdogo sana...ni mkubwa sana kama hutabweteka utajitahidi kufanya saving na kuwekeza katika fursa mbalimbali...ni mdogo sana kama utaendelea kuongea maneno ya shombo kwa wengine na kuridhika umevaa tai mchana kutwa pasipo kufikirisha akili zako na nguvu zako katika kuwekeza kwenye fursa mbalimbali...any way na sisi tulivyokua tunaanza ajira tulikuwa tunajiona kama wewe unavyojiona sahivi...but sahivi tumekuwa wanyenyekevu na tunajifunza kila siku vitu vidogodogo vingine hata kwa watu walioishia darasa la saba cku moja tutoke huku twende kujiajiri
 
Mkuu wewe ni mwalimu kwahiyo benefits za TRA ninazokwambia ni nyingi huwezi kunielewa wala kuniamini ila staff wa TRA wataelewa. Jiulize kwanini staff wa tra hawatumii bima ya NHIF? Huo ni mfano mmoja tu. Naomba niishie hapa.
 
Kuhusu suala la kufanya savings umetoa ushauri mzuri na binafsi nimeanza kufanya savings muda mrefu tu ila usijione mkooongweee wakati umemaliza chuo 2010(s) na pengine bado hujaajiriwa kama unavyodai hapa maana sina hakika sana kama serikali imeajiri waalimu karibuni.
 
Mkuu wewe ni mwalimu kwahiyo benefits za TRA ninazokwambia ni nyingi huwezi kunielewa wala kuniamini ila staff wa TRA wataelewa. Jiulize kwanini staff wa tra hawatumii bima ya NHIF? Huo ni mfano mmoja tu. Naomba niishie hapa.
Mimi sio mwalimu mimi ni mlinzi mshahara wangu ni elfu 70 kwa mwezi...kuhusu benefits hata bar maids wanazo hamna mfanyakazi asiye na benefits hata mimi mlinzi kuna benefits ninazo...t.r.a kuna benefits ndiyo sikatai but usitake kuwaaminisha watu waone t.r.a kuna benefit za ajabu benefits zilizopo hazina tofauti na benefits zilizopo kwenye maofisi mengine...Chukua ushauri wangu t.r.a ni kazi yenye mshahara mdogo kama kazi nyingine na benefits zake ni za kawaida kama kazi nyingine..usipojiongeza ku save hiyo pesa utakayokuwa unapokea na kuwekeza katika fursa mbalimbali utakuja juta
 
Ndio maana nikasema asiyejua maana haambiwi maana. Nimeamua kupotezea basi tu assume upo sahihi mwalimu
3a76efafb3d80e23030a0ee4eebdcde0.jpg
 
Ok..fuatilia thread zangu zote kwa umakini utagundua nilikuwa meandika kwa lengo lipi...nikusaidie tu nilikuwa namsaidia mdogo wangu and alishapata hiyo kazi na sahivi namuhangaikia apate uhamisho...mi ni mlinzi tu mshahara wangu haufiki hata robo ya mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi ila usijeshangaa namiliki hata usafiri ambao wewe mfanyakazi wa t.r.a ukashindwa kuumiliki..or hizo threads hujaziona umeiona tu iyo ulioiweka hapo...
 
Huyo mdogo wako kamaliza degree na hajui chochote hadi wewe (mlinzi) uje kutuuliza huku?? Nimeikataa hii chai mwalimu. Kumiliki gari sio sifa.
 
Ok sawaa tufanye mimi mwalimu kama unavyotaka wewe....and sina hata gari wala baiskeli hiyo thread niliandika tu kujifurahisha sina uwezo wa kumiliki hata baiskeli...kila la kheri Afisa msomi wa t.r.a mwenye mihela yake
 
Back
Top Bottom