Chizy Za kitaa
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 167
- 13
Jaman hii shule mazingira yake ni mazur? nataka nimhamishie mdogo wangu akasome hapo..msaada wenu plz
unamtoa wapi nakumpeleka huko? Tujue namna ya kuku shauri tingi napajua mkuu wa shule hiyo amewai kunifundisha geograph