Mkuu mama alikuwa na tabia mbaya, yaani ukilembea neno kama sio type yake basi anauza CD kwa waifu, hili jimama yaani lina kila tabia mbovu, kuna siku nililitania tu , umependezaa! liliangusha msala ikabidi jibaba niombe yaishe tu lol
aaah mkuu limama liko fulu idara aisee, tatizo ndo hapo tu linatoa lakini kwa naiz. Sasa mbaya ndo hiyo limesoma lakini liko ovyoo sana ndo maana napinga hii sredi.
aaah mkuu limama liko fulu idara aisee, tatizo ndo hapo tu linatoa lakini kwa naiz. Sasa mbaya ndo hiyo limesoma lakini liko ovyoo sana ndo maana napinga hii sredi.
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).
(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana uwezekano mkubwa wa kuolewa ukilinganisha na wale ambao hawajasoma. Na pia wanauwezo wa kuihimili mishindo ya ndoa. Si hivyo tuu ila wanajua maana ya kupenda waume zao. Wanayajua maisha bora, uchumi wa familia na zaidi sana wanauwezo wa kulea familia zao vizuri.
Hili ni kweli kabisa, lakini bado njemba wengi wakiona mdada kamaliza madarasa mengi basi huingia mitini kwa dhana potofu kwamba Wanawake waliosoma sana ni jeuri kwa kutowasikiliza waume wao, wana kiburi kwa kuwa wanajua wana uwezo wa kujitunza wenyewe na blah blah nyingine chungu nzima zisizo na ukweli wowote.