Kwanini hakwenda TCU kujua kama chuo anachosoma ni credible na kinatambuliwa na TCU. Hiyo ndiyo muhimu na rahisi. Soma chuo kinachotambulika na TCU
- Anyway nendeni TCU hapo ndio kila kitu kuhusu elimu ya juu TZA
Procedures zoteIngia kwa website ya tcu kuna procedures site za kufuata
Je kama nimekaa nje muda wote mpaka watoto wanamaliza College na wanaamua kuja kutafuta kazi Tanzania ila kuanzia elementary mpaka University hawajawahi soma nchini watafanyaje? Wamesoma shule zenye IB.
swali zuri mkuuUnasomaje nje hadi masters halafu unakuja tafuta kazi Tanzania SMH hapo ukute ishatumika zaidi ya million 100 ad a at unakuja Anza mshahara laki 5 ......pambana wakuajili huko njoo invest huku
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Point hiiUnasomaje nje hadi masters halafu unakuja tafuta kazi Tanzania SMH hapo ukute ishatumika zaidi ya million 100 ad a at unakuja Anza mshahara laki 5 ......pambana wakuajili huko njoo invest huku
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Yaani huyo mtu anayekuja kutafuta kazi Bongo anakuwa anakuja kutafuta au kuna sehemu ya moja kwa moja kujichomeka?Je kama nimekaa nje muda wote mpaka watoto wanamaliza College na wanaamua kuja kutafuta kazi Tanzania ila kuanzia elementary mpaka University hawajawahi soma nchini watafanyaje? Wamesoma shule zenye IB.