Hawa hawahitaji msaada.Mkuu ukiwa na elimu ya ufugaji na kilimo kichwani kwako, unachohitaji ni hekima tu ili kuwa tajiri, hakuna msaada mwingine unaohitaji.
sija kuelewa mkuu umemaanisha nn?ndo wapale bonyokwa CRANES
mkuu hata kama unamaanisha unachokiongea please usiwe unatumia hasira kiasi hiki tumechoka kupitishiwa bakuli la kuchangia zile 7Mmkiambiwa ccm mzoga muwe mnaamini
Kwa nini hukulalamika kusoma diploma Mwaka 1? Big result now ndo Matokeo Yake . watu wa DAHP mna hali ngumu sana ata ki practical mko ovyo sana Na ndo mnapiga kelele . mfano . medicine 1, medicine 2 . pharmacology . systemic pathology . microbiology . anatomy & physiology & histology .surgery reproduction & obstetrical . parasitology . agribusiness 1. Agribusiness 11. Animal breeding . n.k diploma za sasa aya masomo ni ndoto kwenu . credit hrs ni ndogo ndo maana imeleta mkanganyiko nacte Na TCU . mwambie mr njaani mkurugenzi wa vyuo vya Mifugo afanye recup.
Mdawa wa elimu tz
Wewe umeenda Mzumbe umekuta wanasoma LAW miaka mitatu, uanze kulalamika why Tumaini wanasoma miaka minne.... PleaseKwa nini hukulalamika kusoma diploma Mwaka 1? Big result now ndo Matokeo Yake . watu wa DAHP mna hali ngumu sana ata ki practical mko ovyo sana Na ndo mnapiga kelele . mfano . medicine 1, medicine 2 . pharmacology . systemic pathology . microbiology . anatomy & physiology & histology .surgery reproduction & obstetrical . parasitology . agribusiness 1. Agribusiness 11. Animal breeding . n.k diploma za sasa aya masomo ni ndoto kwenu . credit hrs ni ndogo ndo maana imeleta mkanganyiko nacte Na TCU . mwambie mr njaani mkurugenzi wa vyuo vya Mifugo afanye recup.
Mdawa wa elimu tz
Nani kasema hatujayasoma?... Sasa hio pathology tumesoma applied pathology..eti animal breeding...sasa mkuu utasomaje diploma ya mifugo kama huna animal breeding?...hilo tumelisima bana...hayo masomo yote unayoyataja tushayasoma...kwa taarifa tu...anatomy kwa diploma inaitwa developmental anatomy and physiology...sasa ukisema hatujasoma nakushangaa...Kwa nini hukulalamika kusoma diploma Mwaka 1? Big result now ndo Matokeo Yake . watu wa DAHP mna hali ngumu sana ata ki practical mko ovyo sana Na ndo mnapiga kelele . mfano . medicine 1, medicine 2 . pharmacology . systemic pathology . microbiology . anatomy & physiology & histology .surgery reproduction & obstetrical . parasitology . agribusiness 1. Agribusiness 11. Animal breeding . n.k diploma za sasa aya masomo ni ndoto kwenu . credit hrs ni ndogo ndo maana imeleta mkanganyiko nacte Na TCU . mwambie mr njaani mkurugenzi wa vyuo vya Mifugo afanye recup.
Mdawa wa elimu tz
Nani kasema hatujayasoma?... Sasa hio pathology tumesoma applied pathology..eti animal breeding...sasa mkuu utasomaje diploma ya mifugo kama huna animal breeding?...hilo tumelisima bana...hayo masomo yote unayoyataja tushayasoma...kwa taarifa tu...anatomy kwa diploma inaitwa developmental anatomy and physiology...sasa ukisema hatujasoma nakushangaa...