Waliosoma chang'ombe primary school mpo?

Hapa ni LY 1986 enzi za mwalimu Msaki kama mwalimu mkuu.palikuwa na mwl hizza Sayansi na Hesabu,Mwalimu SOBO kiswahili (yupo mpaka leo hii chang'ombe) , Mwalimu Matemu sikumbuki somo gani,Mwalimu Msongole Geog...wengine nimewasahau
 
mie nilisoma chambuzi p/s tukumbushane
mwl Kirundi
.....
.....
.....
mwl harakaharaka (mr and Mrs )

......

......
 
Dah umenikumbsha mbali ila 2po mm namkmbka mwalimu mussa aka manywele ila nakmbka alikuwa ana2fndsha english language
 
jamani wana jamvini, je mpo mliosoma Chang'ombe Primary School? shule ya mazoezi ya Chuo cha Ualimu Chang'ombe ambacho sasa ni Chuo Kishiriki cha U Dar, hebu tuwakumbuke baadhi ya walimu ambao walitufanya leo "To walk tall". Hawa ni baadhi:-
Mwl Kirwanda
Mwl Shilatu
Mwl Matanyanga
Mwl Ndanshau (Mrs)
Mwl Baruti (Mrs)
Mwl Ngonyani (Mrs)
Mwl Taratibu (Mr and Mrs)
Mwl Matemu
Mwl Kyulule (Mrs)
Mwl Rwechungura (Mrs)
Mwl Bituro (Mrs)
Mwl Josephine Mahiga
Mwl Nkane nk nk

Wana jamvi endeleeni na list, JE WAKO WAPI NA WANAFANYA NINI? TUJUZANE NIMWKUMBUKA MWAKA ARUBAINI NA SABA!!!!! those good old days, uji wa buruga, daftari vitabu mnapewa shuleni nk nk nk

Wiki ijayo ntaenda
 
Back
Top Bottom