Jaman hz taarfa znasambaa kama upepo, imekuwa ajira zilizositshwa za Mahakama na afya et kuftwa kimya kimya,aliesema katibu mkuu utumishi umma, nahusika wasubr ajira Mpya na wataomba tena upya, chanzo jamii forum! Dogo ni muhanga leo ndo kaona hyo taarfa nahisi ametaka kufa na pressure! Jaman tunaoleta Uzi usokua na data kamili taarfa hz znasambaa sana nawahanga wanaumia zaid, humu jf kuna waandishi wa habar wanatoa humuhum bila kuwa na uhakika, jaman tunaumiza watu! KUNA HAJA YA SERIKALI KUTOA TAMKO JUU YA MAMBO KAMA HAYA YANAYOTOLEWA TAARIFA KWA UMMA KILA KUKICHA!