Waliorudia mitihani na kufaulu

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Reseater ambaye amefaulu vizuri, baada ya kurudia mitihani saba na kufaulu vizuri kwa kupata cheti kipya anachaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali au ni lazima asome shule binafsi?
 
Inategemeana na umri alionao mtahiniwa! Lakini kuna wakati Serikali ilitoa muongozo kwamba wanaopitia kufanya mitihani kwa kurudia wapitie njia ya shule binafsi au mitihani binafsi.
 
Reseater ambaye amefaulu vizuri, baada ya kurudia mitihani saba na kufaulu vizuri kwa kupata cheti kipya anachaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali au ni lazima asome shule binafsi?
Age matters ila sana sana ua wanaenda soma private.
 
Mfumo wetu wa elimu hautoi fursa kwa mwanafunzi anayefanya mtihani wa QT kusajiriwa katika taasisi za umma yaani goverment schools isipokuwa kwa maelekezo maalum kutoka wizwarani kama ilivyokuwa kwa wanafunzi wa memkawa.
 
Reseater ambaye amefaulu vizuri, baada ya kurudia mitihani saba na kufaulu vizuri kwa kupata cheti kipya anachaguliwa kujiunga na kidato cha tano shule za serikali au ni lazima asome shule binafsi?
Lazima aende private selikar hawez chaguliwa ni kama wale wanao soma mfumo wa QTs
 
Back
Top Bottom