tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Sidhani kama sababu ya kukosekana ni ushiriki wa CHAN, maana CHAN inaisha tarehe 30 tu hapa wakati mechi ya ngao ya jamii ni tarehe 16 mwezi wa 9Watacheza, Kesho tunafungwa na Morocco, kila mchezaji anaenda kwenye timu yake
Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16
Soma pia: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii
View attachment 3447121
Mkuu sio kesho kutwa?Watacheza, Kesho tunafungwa na Morocco, kila mchezaji anaenda kwenye timu yake
Nakumbuka game moja hivi ya simba Okwi anatua tu airport akapitiliza moja kwa moja taifa akavalishwa jezi akaingia uwanjaniKwa namna timu zetu zinavyo-force mambo usishangae wakacheza
Natamani iwe hivi.Watacheza, Kesho tunafungwa na Morocco, kila mchezaji anaenda kwenye timu yake
Tuongeze dua mkuu, mpaka sasa mie nishanunua kanzu, kesho naongea kiarabu na kifaransa tuNatamani iwe hivi.
Nikajua ni kesho mkuuMkuu sio kesho kutwa?
Nimsikiliza vizuri jamaa kwenye hiyo clip, hoja yake hakuishia kwwnye CHAN bali kwenye michezo ya kufuzu kombe la dunia. Tarehe 6 mwezi wa 9 Tanzania inacheza dhidi ya Zambia kisha tunawafuata Congo kucheza nao tarehe 10 mwezi 9Wachambuzi wetu hawajui ratiba ya Chan pamoja na ya ngao ya jamii hawajui ipoje na wanataka kuzungumzia mpira ile bodi iwaangalie pia na hawa wajanja wanja kutokwenda huko kama hawana Elimu ya mpira wa miguu au hawakucheza mpira kwa ngazi ya juu..