Waliopo CHAN kuikosa Ngao ya Jamii

Waliopo CHAN kuikosa Ngao ya Jamii

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16

Soma pia: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii

View attachment 3447121

Kwaiyo Source yako ndo maoni ya hako kajamaa....?

Tulishasema vituo vingi vya habari na television havina Wachambuzi bali vimejaza mashabiki wenzetu..!

Next time uwe unatafuta vyanzo vya habari vya kuaminika sio hawa jamaa .!
 
Wachambuzi wetu hawajui ratiba ya Chan pamoja na ya ngao ya jamii hawajui ipoje na wanataka kuzungumzia mpira ile bodi iwaangalie pia na hawa wajanja wanja kutokwenda huko kama hawana Elimu ya mpira wa miguu au hawakucheza mpira kwa ngazi ya juu..
 
Nimsikiliza vizuri jamaa kwenye hiyo clip, hoja yake hakuishia kwwnye CHAN bali kwenye michezo ya kufuzu kombe la dunia. Tarehe 6 mwezi wa 9 Tanzania inacheza dhidi ya Zambia kisha tunawafuata Congo kucheza nao tarehe 10 mwezi 9
 
msitegemee stars itaifunga morocco chini ya kocha mzanzibar...

nashauri Mgunda aachiwe team kwa mda...
 
Back
Top Bottom