Waliopinga Ushindi wa Lema Mahakamani Arusha wajiunga CHADEMA

Waliopinga Ushindi wa Lema Mahakamani Arusha wajiunga CHADEMA

Arusha Leo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
120
Reaction score
72
Makada wa CCM watatu (3) waliopinga Mahakamani matokeo ya Ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), mmoja wao Happy Kivuyo akiwa na wenzake 7, jana katika mkutano wa hadhara wa mgombea udiwani kata ya Osunyai Jirusha jini Arusha wametangaza kuhihama chama hicho na kujiunga na Chadema.

Ameeleza kuwa walinunuliwa na makada wa CCM ili watoe ushahidi wa uongo Mahakamani.
 
Daaah hatariiiii Mungu atawaumbua wote
 
Hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
hakuna kitu kama hicho musa hamisi mkangaa yupo ccm na Happynes molle yupo ccm
 
hakuna kitu kama hicho musa hamisi mkangaa yupo ccm na Happynes molle yupo ccm

Mzee mkangaa kachoka banaa nijiran yangu kabsaa kale kakibundaa anachodaiwaa nikakubwa kashatoa Kama m20 so inawezekana kajivuta kwa lema hata asamehewee
 
Watakuja wengi sana bado nafasi ipo
TOROKA UJE
 
Waende tu na wengine wote mlio pending TOROKENI MUENDE UPESI maana majina yenu tayari yameshaandikwa kwa wino mwekundu na hakika hamtatangulia kumlaki Magufuli magogoni
 
Watakuja wengi sana bado nafasi ipo
TOROKA UJE

WASALITI TOROKENI MUENDE UFISADINI UPESI! Kwa maana majina yenu yalishapigwa mstari mwekundu siku nyingi na hesabu yenu inajulikana hadi kwa baba. Hakika hamtatangulia salenda bridge kumlaki Magufuli magogoni. Kwa sababu ccm walio hai wataungana na CHADEMA na CUF asilia na wapenda haki ya kweli wote kumlaki Magufuli magogoni. Na hapo ndiyo ule mwisho wa sinema hii ndefu utakapokuwa umefika. Mwenye masikio na asikie mimi nawaambia wote wauchukiao ufisadi, unafiki, uongo, ukigeugeu na mambo kama hayo. Amen
 
Bado kama mtu mia hivi. Hiyo ndio oparation toroka uje bwana. Lowasa mabadiliko na mabadiliko ni Lowasa
 
Makada wa CCM watatu (3) waliopinga Mahakamani matokeo ya Ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), mmoja wao Happy Kivuyo akiwa na wenzake 7, jana katika mkutano wa hadhara wa mgombea udiwani kata ya Osunyai Jirusha jini Arusha wametangaza kuhihama chama hicho na kujiunga na Chadema.

Ameeleza kuwa walinunuliwa na makada wa CCM ili watoe ushahidi wa uongo Mahakamani.

Hiyo yote ni ili wasamehewe zile gharama za kesi, au??
 
Back
Top Bottom