Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Sawa mkuuNgoja tuone
Kwakua Tunaogopa Mungu na teknolojia hebu lete hata kaklip kamoja ambako kanaonesha wabunge wa CHADEMA wakitoka nje ya Bunge kama ishara au hatua ya kupinga mradi wa SGR Kwa sababu tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Kama hutaweza kufanya hivyo wewe ni mojawapo ya wajinga kwenye kundi la wajinga na wapumbavu. Kama Makala aliyesema wananunua vurusi vya MPoxChadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Wewe ni mjinga sana unataka uletewe kila kituKwakua Tunaogopa Mungu na teknolojia hebu lete hata kaklip kamoja ambako kanaonesha wabunge wa CHADEMA wakitoka nje ya Bunge kama ishara au hatua ya kupinga mradi wa SGR Kwa sababu tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Kama hutaweza kufanya hivyo wewe ni mojawapo ya wajinga kwenye kundi la wajinga na wapumbavu. Kama Makala aliyesema wananunua vurusi vya MPox
Kwenye nini?
Na bado anaabudiwa na kutukuzwa huku akiimbiwa kila aina ya mapambioMagufuli alijitahidi sana kuihudumia Tz ajabu rais wa Sasa hakuna hata mradi mmoja aluoufanya .anachofanya yeye ni kusafiri tu kwenda kustarehe
Ni unafiki tu, akiondoka wanampondaNa bado anaabudiwa na kutukuzwa huku akiimbiwa kila aina ya mapambio
Ni wajinga sanaMi nashangaa sana. Walimcheka kwamba hana utu na hajui demokrasia na ni mshamba, mara muuaji anateka watu.
Sasa saiz sijui hayo yapo wapi? Miradi mipya ipo wapi? Hata ile ya Jembe inaenenda vipi? Hali ni ile ile au saiz ni nafuu??
Makada utasikia “dakitari……. Pwapwapwaaa”
Mnanenepa ndani ya sgrTuko vizuri tu tunanenepa......
Ndio sgr iliyojengwa kwa kodi zetuMnanenepa ndani ya sgr
Sasa hivi kodi zenu zimeenda wapiNdio sgr iliyojengwa kwa kodi zetu
Zipo bado zinandelea kutumika na huduma, miradi mbalimbali, kulipa mishahara na nyingine kuliwa na wajanjaSasa hivi kodi zenu zimeenda wapi
Flyover mpya ziko wapi?Zipo bado zinandelea kutumika na huduma, miradi mbalimbali, kulipa mishahara na nyingine kuliwa na wajanja
Unahitaji flyover mpya??? Uzifanyie nini?Flyover mpya ziko wapi?
Flyover ya Ubungo unaifanyia kazi gani?Unahitaji flyover mpya??? Uzifanyie nini?