Greaty Timothy
Member
- Sep 24, 2014
- 26
- 2
Kweli kabisa
Habari,
Kutokana na bodi ya mikopo kutoa majina kama walivyofanya tume ya vyuo vikuu hivyo kulazimu wahusika kuyasaka. Nitayaweka hapa na kujitahidi kuyaongeza kadiri yanavyoongezeka.
SUA 2014
MUCE 2014
MZUMBE 2014
View attachment 191696
View attachment 191816
View attachment 191891
UDSM 2014
ndg ni ya mwaka wa kwanza au wa pili na tatu? coz nmepitapo muda flan km saa sita nkakuta ya wapil na tatu nkaambiwa wakwanza bado xo km wameweka tusaidiane....kwa wale wa st john majina yamebandikwa chuoni..
kwa wale wa st john majina yamebandikwa chuoni..
Wadau atakaye pata maina ruco atupie
mwaka wa kwanza?