Jaman wenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye usaili na wizara ya afya na ustawi wa jamii anijuze. Ni miez sasa imepita tangu watoe post zaid ya hamsin. Ikiwemo post za walfare, env.health, clinical oficer Natanguliza shukran
wewe nani kakwambia tayari wametoa majina ya watu waliopita au wewe ndo umetumiwa barua peke yako acha kututia shaka bana au nyie ndo watoto wa mapedeshee wakubwa huko ofsin ss tunafatilia kwa karibu nahakuna taarifa yoyote ya majina kutoka kaka wewe umetoa wapi habari hz

Usihofu mkuu.
Napenda tu kukujulisha kwamba mimi si inspector, tuko pamoja kitaa kaka mkuu.
Yawezekana mimi ni inspector wa gheto langu tu na si huko kwenye maofisi.