WALIOOTA MISISI KWENYE UONGOZI

Joined
Aug 29, 2016
Posts
18
Reaction score
10
Natambua kuwa tuna karibia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Kuna watu wako madarakani kwenye mitaa yao kwa muda mrefu..wengine wamefanya vizuri ndiyo maana wapo muda huo wote.
Lakini wajitafakari wale waliokaa muda mrefu kuota misisi mitaani je bado wanatosha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…