Waliookoka hawababaishwi na "Koro Syndrome"

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,700
Reaction score
7,422
Imeibuka hofu kubwa inayowatesa watu kiakili. Hofu hii inajulikana kama Koro syndrome, inayomfanya mtu kuamini kuwa sehemu nyeti za mwili wake zinapotea akiguswa bega lake!

Kwa mtu aliyeokoka, anayemjua Mungu na kusimama katika kweli ya Neno lake, hofu ya aina hii haina nafasi kabisa ndani yake. Imani thabiti inamfanya mtu aliyeokoka kuwa imara, asiyepeperushwa na upepo wa hofu.

Kwanini mtu aliyeokoka hababaishwi na Koro Syndrome?

1. Mungu hakutupa roho ya hofu, bali ya nguvu, upendo na moyo wa kiasi (2 Timotheo 1:7). Mkristo haongozwi na hisia za hofu bali na Roho Mtakatifu aliye ndani yake.

2. Koro Syndrome inapoingia katikati ya watu huambatana na imani potofu za kishirikina. Mtu aliyeokoka, hakuna nguvu za giza au za kichawi zinazoweza kumdhuru, kwakuwa anatembea chini ya ulinzi wa Mungu.

Maandiko yanasema "hapana uchawi juu ya Yakobo, wala uganga juu ya Israeli (Hesabu 23:23). Kwahiyo hata kama Koro Syndrome itakuja kishirikina, haimbabaishi mtu aliyeokoka kwa sababu ana silaha za kiroho zenye nguvu ya kubomoa mishale ya moto ya shetani. "Silaha za vita vyetu si za mwili bali zina uwezo katika Mungu kubomoa ngome..." (2 Wakorintho 10:4-5). Mawazo ya hofu hubomolewa kwa Neno la Mungu na Jina la Yesu.

3. Mtu aliyeokoka, anakaa ndani ya Yesu na Yesu anakaa ndani yake. "Yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye ulimwenguni"(1 Yohana 4:4). Nguvu ya Mungu ndani ya mtu aliyeokoka ni kubwa kuliko hofu ya aina yoyote.

Kama umeokoka, kumbuka points hizo, utembee kifua mbele bila kujali hata mtu akikugusa bega!

Na kama hujaokoka, amua leo kutubu dhambi zako zote na kuziacha, na ukubali Yesu awe Bwana na Mwokozi wako kuanzia leo. Ukifanya hivyo you will be free from Koro Syndrome induced by psychological, cultural, or satanic anxiety (John 8:36).

Barikiwa!
 
Umeeleza vizuri, keep excelling
 
Koro syndrome!... Koro ni lugha gani boss
The word koro in koro syndrome is derived from the Malay language. It is commonly believed to be a Malay term meaning "head of a turtle" or "tortoise," which refers to the way a turtle retracts its head into its shell, metaphorically representing the fear of genital retraction.
 
Aisee, kumbe
 
Unaamini hiyo koro syndrome inaweza kusababishwa na uchawi?
 
The word koro in koro syndrome is derived from the Malay language. It is commonly believed to be a Malay term meaning "head of a turtle" or "tortoise," which refers to the way a turtle retracts its head into its shell, metaphorically representing the fear of genital retraction.
Waaaoh!.. now I can pull my imagination and feel how Koro look like, thank you for the very serendipitous explanation.
 
Kuamini huo upuuzi ni ujinga tu, ebu vijana wafanye kazi....
 
Haiondoi ukweli kwamba kuamini ni upuuzi
Ungekuwa unajua maana ya neno "kuamini" au "kuwa na imani" usingeandika hiyo comment.
Waebrania 11:1-3
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; ni kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona
 
Your remarkably magnanimous expression of appreciation is truly resplendent 🙂
Great!..I am profoundly grateful for perceiving the genuine spirit of gratitude within you, I am confident that you possess a singular heart as well, in executing acts towards others with gentleness and love
 
Imeibuka hofu kubwa inayowatesa watu kiakili. Hofu hii inajulikana kama Koro syndrome, inayomfanya mtu kuamini kuwa sehemu nyeti za mwili wake zinapotea akiguswa bega lake!

Kwa mtu aliyeokoka, anayemjua Mungu na kusimama katika kweli ya Neno lake, hofu ya aina hii haina nafasi kabisa ndani yake. Imani thabiti inamfanya mtu aliyeokoka kuwa imara, asiyepeperushwa na upepo wa hofu.

Kwanini mtu aliyeokoka hababaishwi na Koro Syndrome?

1. Mungu hakutupa roho ya hofu, bali ya nguvu, upendo na moyo wa kiasi (2 Timotheo 1:7). Mkristo haongozwi na hisia za hofu bali na Roho Mtakatifu aliye ndani yake.

2. Koro Syndrome inapoingia katikati ya watu huambatana na imani potofu za kishirikina. Mtu aliyeokoka, hakuna nguvu za giza au za kichawi zinazoweza kumdhuru, kwakuwa anatembea chini ya ulinzi wa Mungu.

Maandiko yanasema "hapana uchawi juu ya Yakobo, wala uganga juu ya Israeli (Hesabu 23:23). Kwahiyo hata kama Koro Syndrome itakuja kishirikina, haimbabaishi mtu aliyeokoka kwa sababu ana silaha za kiroho zenye nguvu ya kubomoa mishale ya moto ya shetani. "Silaha za vita vyetu si za mwili bali zina uwezo katika Mungu kubomoa ngome..." (2 Wakorintho 10:4-5). Mawazo ya hofu hubomolewa kwa Neno la Mungu na Jina la Yesu.

3. Mtu aliyeokoka, anakaa ndani ya Yesu na Yesu anakaa ndani yake. "Yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye ulimwenguni"(1 Yohana 4:4). Nguvu ya Mungu ndani ya mtu aliyeokoka ni kubwa kuliko hofu ya aina yoyote.

Kama umeokoka, kumbuka points hizo, utembee kifua mbele bila kujali hata mtu akikugusa bega!

Na kama hujaokoka, amua leo kutubu dhambi zako zote na kuziacha, na ukubali Yesu awe Bwana na Mwokozi wako kuanzia leo. Ukifanya hivyo you will be free from Koro Syndrome induced by psychological, cultural, or satanic anxiety (John 8:36).

Barikiwa!
Kama wewe umeukoka na huamini hilo jambo, njoo nikuguse bega halafu uangalie nyeti zako kama zitakuwepo. Kama unabisha nikutumie namba ya simu unipigie inbox nikuelekeze ninakopatikana nikutumie nauli uje nikufanyie hicho kitu au kama huna huo muda nielekeze ulipo nije nikufanyie hayo mambo ili ukatoe ushuhuda vizuri kwa walokole wenzio. Sikuhizi hatubishani kwa maneno tunabisha kwa vitendo.
 
Kama wewe umeokoka na huamini hilo jambo, njoo nikuguse bega halafu uangalie nyeti zako kama zitakuwepo. Kama unabisha nikutumie namba ya simu unipigie inbox nikuelekeze ninakopatikana nikutumie nauli uje nikufanyie hicho kitu au kama huna huo muda nielekeze ulipo nije nikufanyie hayo mambo ili ukatoe ushuhuda vizuri kwa walokole wenzio. Sikuhizi hatubishani kwa maneno tunabisha kwa vitendo.
Hahaa, Yesu aliye ndani yangu ni Mkuu kuliko uchawi wako. Kama unajiamini huna haja ya kunigusa bega, tuma huo uchawi wako hapa hapa nilipo, uone kama hautakurudia mwenyewe.

Mungu akusamehe bure maana hujui ulitendalo
 
Ungekuwa unajua maana ya neno "kuamini" au "kuwa na imani" usingeandika hiyo comment.
Waebrania 11:1-3
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; ni kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona
Ukijua wewe inatosha
 
Back
Top Bottom