Walionusurika wasimulia jinsi Boko Haram walivyowachinja wakulima

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Kwa siku kadhaa magaidi ya boko Haram waliishi, kufanya kazi na kula pamoja na wakulima hawa wa mchele kwasababu nao walijifanya waajiriwa.
Ilipofika alasiri jumamosi iliyopita ghafla wakatoa bunduki zao kuwakusanya na kuanza kuwachinja.

Endelea kusoma

This was the nightmare recounted by survivors of a massacre that unfolded in the rice fields of northeastern Nigeria on Saturday.

The bloodbath set a new standard of brutality in Boko Haram's 11-year-old jihadist insurgency.

Seventy-six people died, according to the authorities. Many were impoverished farm workers who were tied up before their throats were slit.

A traumatised survivor aged 24, who can be called Abdul, said the murderers posed as labourers who had come to the fields in Koshobe, Borno state, to do seasonal work.

"I ran errands for them, getting them food and washing their plates," said Abdul, who came with hundreds of others from Kebbi, a poor region 1,000 kilometres (600 miles) away.

Around 40 jihadists were involved in the massacre, according to survivors.

- 'Ploy' -

In the early afternoon of Saturday, they took out their guns and herded about 60 workers in front of an abandoned building, said Abdul.

"They separated the aged (from) the rest of us and said we should take turns to pay homage to their leader who was in the house," he said.

"But it was only a ploy because whoever went in never came out."

"At a point one of the insurgents guarding us told us that we were being slaughtered and asked us to flee," he said. "I was one of the few lucky ones."

As he fled, he witnessed the unbearable: "The assailants then went on a killing spree, seizing workers on rice fields, tying them up and slitting their throats."

It appears that the jihadists also targeted workers who were from the nearby village of Zabarmari, even though the village had a protection deal with Boko Haram.

Bello Muhammad's younger brother Ali, aged 20, was among those killed.

"They asked who among them was from Zabarmari and my brother immediately stepped forward and was asked to enter the house where he was slaughtered," he said, recounting what was said to him by a witness.

"There was an agreement that the jihadists would never attack Zabarmari residents, which was why Ali was quick to step forward, thinking he would be spared."

Forty-three corpses were found in the building, and 33 have been found in the rice fields. More, it is feared, have yet to be discovered.

- Search for bodies -

Teams continued the search for bodies on Tuesday, plodding through the expansive marshland on foot, trudging behind tractors.

"It is a tiring job because regular vehicles can't move in the difficult terrain because they will definitely get stuck," said Abdullahi Umar, a member of the search team.

He described the search as "dangerous" because Boko Haram operates in the area, which has footpaths that link to its haven in the Sambisa forest.

At least 36,000 people have been killed and two million displaced since the jihadists launched their bloody campaign in northeast Nigeria in 2009.

The UN, in an early account of the latest massacre, said that the assailants arrived by motorbike, and gave a preliminary death toll, since retracted of 110.

It has not been ruled out that several groups may have taken part.

On Tuesday, Boko Haram said it was "responsible for what happened around Maiduguri in recent days... especially in Zabarmari."

The killing, it said, was in retaliation for the death of one of its members who had been arrested by villagers and handed over to the authorities.
 
Boko-Haram-Claims-Responsibility-For-Zabarmari-Massacre-In-A-New-Video.jpg

Boko Haram katika Video ya dakika 3 katika lugha ya kiarabu na Hausa wamedai waliwachinja wakulima baada ya kumshika mmoja wao na kumkabidhi polisi.

The video

A masked Boko Haram leader in the video accused the farmers of arresting one of its members and handing him over to the military, claiming that was the reason for the killings.

The leader said “You think you can take our brother and hand him to soldiers and live in peace. You think Allah will forget what you have done to our brother.
 
Boko-Haram-Claims-Responsibility-For-Zabarmari-Massacre-In-A-New-Video.jpg

My second message to you all is calling on you repent. We want you all to repent, once you repent we will not kill you.”

In the video, he also warned those who had arrested Boko Haram terrorists or has been spying against them to expect a similar fate.
 
Boko-Haram-Claims-Responsibility-For-Zabarmari-Massacre-In-A-New-Video.jpg
My third message is for those who apprehend our members and hand them to the military or give them a clue on where to find us. You should know that, unless you repent, what happened to your people is what you will get from us. We will not budge until we finish you all.”
 
Hao jamaa tunawakemea...bado WAPO...
Hao jamaa tunawachukia...bado WAPO...
Hao jamaa..................bado WAPO...
Hao jamaa...................bado WAPO...

Unaumia MOYONI na kubaki kuangalia tu....

Sasa hao wananchi wanaokutana na DHAHAMA zao sijui WANAJISIKIAJE HUKO ?!!

Serikali WANAYO...
Majeshi WANAYO...
ECOWAS IKO....
Africa Union IKO....
United Nations IKO...

IT'S HAVOC.....
 
Uingereza iliwahi kuomba ruhusa ya kuwamaliza but rais wa nchi Buhari alikataa
 
Kabisa mkuu. Kuna Mambo ukiyafikiria unabaki kuhuzunika mwenyewe tu.
Yaani serikali ya Nigeria na utajiri wote, vifaa Bora wanashindwa kulitokomeza hili kundi?
Siasa hizi?!!!!!
 
Seriously?!
Huyo rais ana maslahi gani na hilo kundi? He wananchi hawakureact against msimamo wa rais wao?
Angalia sasa innocent farmers walivyozurumiwa maisha yao...
 
Uingeleza iliwahi kuomba ruhusa ya kuwamaliza but rais wa nchi Buhari alikataa
Kama ni kweli alikataa basi alifanya vyema, hawa mabeberu sio wa kuwaamini kabisa.

Mwanzoni Bokoharam walivyoanzisha uasi mwaka 2009, Nigeria iliwahi kuomba msaada kwa serikali ya Obama na nchi kadhaa za magharibi ikiwemo Ufaransa na Uingereza, ila Marekani ilikataa kwa kisingizio cha kuhofia ukiukwaji wa haki za binadamu unaoweza kufanywa na jeshi la Nigeria.

Yaani waliona mauaji yaliyokuwa yakifanywa na hili kundi sio ukiukwaji wa haki za binadamu ila wanajeshi wa Nigeria kupewa silaha ndio ukiukwaji wa hizo haki utakuwepo.

Baada ya Nigeria kwa kushirikiana na nchi jirani kufanikiwa kulirudisha nyuma hili kundi ndio hao mabeberu wanaibuka na kusema wapo tayari kutoa misaada, huo ni unafiki na kujikosha tu na ni bora walikataliwa.
 
Jeshi la uingereza lilitaka kuingia field lenyewe na si kusaidia vinginevyo. Kumbuka kuwa waingereza wanajeshi zuri kwa mapigano ya msituni
 
Kabisa mkuu. Kuna Mambo ukiyafikiria unabaki kuhuzunika mwenyewe tu.
Yaani serikali ya Nigeria na utajiri wote, vifaa Bora wanashindwa kulitokomeza hili kundi?
Siasa hizi?!!!!!
Serikali ya naijeria unaumwa ugonjwa wa corruption: Similar to mozambique na DRC. Hawa wana majeshi yasiyo na nidhamu kutokana na corruption. Siku zote wanajeshi wa naijeria wanalalamika kutopata huduma bora
 
Kwa siku kadhaa magaidi ya boko Haram waliishi, kufanya kazi na kula pamoja na wakulima hawa wa mchele kwasababu nao walijifanya waajiriwa.
Ilipofika alasiri jumamosi iliyopita ghafla wakatoa bunduki zao kuwakusanya na kuanza kuwachinja.

Endelea kusoma

This was the nightmare recounted by survivors of a massacre that unfolded in the rice fields of northeastern Nigeria on Saturday.

The bloodbath set a new standard of brutality in Boko Haram's 11-year-old jihadist insurgency.

Seventy-six people died, according to the authorities. Many were impoverished farm workers who were tied up before their throats were slit.

A traumatised survivor aged 24, who can be called Abdul, said the murderers posed as labourers who had come to the fields in Koshobe, Borno state, to do seasonal work.

"I ran errands for them, getting them food and washing their plates," said Abdul, who came with hundreds of others from Kebbi, a poor region 1,000 kilometres (600 miles) away.

Around 40 jihadists were involved in the massacre, according to survivors.

- 'Ploy' -

In the early afternoon of Saturday, they took out their guns and herded about 60 workers in front of an abandoned building, said Abdul.

"They separated the aged (from) the rest of us and said we should take turns to pay homage to their leader who was in the house," he said.

"But it was only a ploy because whoever went in never came out."

"At a point one of the insurgents guarding us told us that we were being slaughtered and asked us to flee," he said. "I was one of the few lucky ones."

As he fled, he witnessed the unbearable: "The assailants then went on a killing spree, seizing workers on rice fields, tying them up and slitting their throats."

It appears that the jihadists also targeted workers who were from the nearby village of Zabarmari, even though the village had a protection deal with Boko Haram.

Bello Muhammad's younger brother Ali, aged 20, was among those killed.

"They asked who among them was from Zabarmari and my brother immediately stepped forward and was asked to enter the house where he was slaughtered," he said, recounting what was said to him by a witness.

"There was an agreement that the jihadists would never attack Zabarmari residents, which was why Ali was quick to step forward, thinking he would be spared."

Forty-three corpses were found in the building, and 33 have been found in the rice fields. More, it is feared, have yet to be discovered.

- Search for bodies -

Teams continued the search for bodies on Tuesday, plodding through the expansive marshland on foot, trudging behind tractors.

"It is a tiring job because regular vehicles can't move in the difficult terrain because they will definitely get stuck," said Abdullahi Umar, a member of the search team.

He described the search as "dangerous" because Boko Haram operates in the area, which has footpaths that link to its haven in the Sambisa forest.

At least 36,000 people have been killed and two million displaced since the jihadists launched their bloody campaign in northeast Nigeria in 2009.

The UN, in an early account of the latest massacre, said that the assailants arrived by motorbike, and gave a preliminary death toll, since retracted of 110.

It has not been ruled out that several groups may have taken part.

On Tuesday, Boko Haram said it was "responsible for what happened around Maiduguri in recent days... especially in Zabarmari."

The killing, it said, was in retaliation for the death of one of its members who had been arrested by villagers and handed over to the authorities.
Tunachosoma ni upupu wa propaganda za kibeberu na si habari za tukio. Kama utakwenda mstari kwa mstari utaona mengi ambayo hayatokei kwenye matukio ya kweli.Nimeona mengi baadhi yao ni haya

1. Walijifanya ni wakulima wa kawaida - walitokea wapi na hayo mashamba anakuja tu kuvuna hata kama hajalima,na jee hawakuwa wakihitaji posho ya siku kama wenzao.

2. Bunduki walizificha wapi ambapo wakulima wenzao hawakuziona mpaka siku ya tukio.Na wala hawakuzitumia siku ya tukio basi si afadhali isemwe walificha mapanga.

4. Abdul anasema magaidi hao wanajificha msitu wa Sambisa na msitu huo huo ndiko walikowapeleka wasichana wa Chibook. Msitu huo una ukubwa gani ambapo jeshi la Nigeria na washirika wao hawajaweza kuingia .Hao magaidi nani anayewalea.
 
Serikali ya naijeria unaumwa ugonjwa wa corruption: Similar to mozambique na DRC. Hawa wana majeshi yasiyo na nidhamu kutokana na corruption. Siku zote wanajeshi wa naijeria wanalalamika kutopata huduma bora
Nigeria naitoa katika rank ya kuwa no. 4 withe best military force in Africa😬😬
 
Tunachosoma ni upupu wa propaganda za kibeberu na si habari za tukio.Kama utakwenda mstari kwa mstari utaona mengi ambayo hayatokei kwenye matukio ya kweli.Nimeona mengi baadhi yao ni haya
1.Walijifanya ni wakulima wa kawaida - walitokea wapi na hayo mashamba anakuja tu kuvuna hata kama hajalima,na jee hawakuwa wakihitaji posho ya siku kama wenzao.
2.Bunduki walizificha wapi ambapo wakulima wenzao hawakuziona mpaka siku ya tukio.Na wala hawakuzitumia siku ya tukio basi si afadhali isemwe walificha mapanga.
4.Abdul anasema magaidi hao wanajificha msitu wa Sambisa na msitu huo huo ndiko walikowapeleka wasichana wa Chibook. Msitu huo una ukubwa gani ambapo jeshi la Nigeria na washirika wao hawajaweza kuingia .Hao magaidi nani anayewalea.
Maswali ya kipumbavu
 
Kuna article nimesoma inasema kwamba 2014 jeshi la Nigeria liliandaa operations na walifanikiwa kuharibu Boko haram's camps zaidi ya 13. Tatizo ni kwamba haya maeneo ya Sambisa forest yana migodi mingi sana na hawa jihadists wanaitumia hiyo migodi kama sehemu za kujijichia alafu pia wanayafahamu hayo maeneo vizuri sana.

Chakushangaza ni kwamba nguvu ya 5 brigades imeshindwa kuwasuppress kabisa hawa bokoharam?!!

Wanigeria wanapaswa wake nyumbani tuwafundishe mbinu za kimedani za misituni jinsi ya kukabiliana na hawa jamaa, vinginevyo watakuwa wanaendelea kusababisha mauwaji kila anapokufa mtu wao mmoja.
 
Back
Top Bottom