Kukamata wanaozomea hakuondoi sababu za kuzomea. Ni busara kutafuta chanzo cha zomea zomea hizo badala ya kuwakamata.
zomea zomea ndio zawadi ya ccm kwa sasa,watawakamata wangapi?VIJANA 27 wanaosaadikiwa ni kutoka vyama vya upinzani mjini Bunda wapo mikononi mwa polisi kufuatia Amri ya viongozi kuwa wakamatwe kwa kukosesha amani mkutano wa C C M
OCD kusindikiza msafara wa Kinana Butiama hadi akirudi ndo tutawapa Up date
OCD ni mwajiriwa wa serikali iweje asindikize wanasiasa? CCM wana green guard kwanini wasifanye kazi hiyo? Hivyo inamaana huduma mihimu ambazo OCD ilikuwa azitoe kama moja ya wajibu wake zimesimama. Akwatwe mshahara kwa kutowajibika kituoni kwake.
1. unaitwa mkutano wa hadhara maana yake mtu yeyote hata asiye na chama anaruhusiwa kwenda mradi asivunje sheria.Sasa kama mkutano ni wa wanaccm, Hawa vijana wametoka wapi kwenye mkutano usiowahusu, au wametumwa na Babu kutimiza ahadi zake kabambe na makini kuwa nchi haita tawalikaa??
siku moja arusha walikuwepo vijana watano walilipwa 5000 kila mmoja wakazomee msafala wa waziri mkuu nilishangaa sana kuwa na wanasiasa wa namna hii.
VIJANA 27 wanaosaadikiwa ni kutoka vyama vya upinzani mjini Bunda wapo mikononi mwa polisi kufuatia Amri ya viongozi kuwa wakamatwe kwa kukosesha amani mkutano wa C C M.
OCD kusindikiza msafara wa Kinana Butiama hadi akirudi ndo tutawapa Up date.
UP DATE vijana waliokamatwa wamechiwa huru na wataitwa kama watahitajika,hii ni baada ya uongozi wa CHADEMA Bunda kuwatoa,baadhi ya vijana ni Dickson Manyama na Masanja hawa ni vijana a UVCCM ambao hawakuwa wanaafiki matusi ya Nape na watajiunga na CHADEMA.
Wamejuaje ni wanachama wa CDM.?
Chadomo ndo tabia zao' ni wakorofi hadi kwenye mikutano ambayo si yao'
Wamewaonea hao
Kama wanajiamini waje wanikamate na mimi
NAPE ooooohooooooooooooo..................ooooooooohhhhhhh
KINANA ooooohooooooo..................hooooooooooooooooooo
Sasa kama mkutano ni wa wanaCCM, Hawa vijana wametoka wapi kwenye mkutano usiowahusu, au wametumwa na Babu kutimiza ahadi zake kabambe na makini kuwa nchi haita tawalikaa??
Chadomo ndo tabia zao' ni wakorofi hadi kwenye mikutano ambayo si yao'