Waliomzomea mwanasheria hawajitambui

Mimi nadhani itungwe kanuni maalum kuwaruhusu hawa wanaojiita waheshimiwa kushikishana adabu kwa kutwangana kwa mangumi bila kutumia silaha yoye pale wanapotofautiana. Mimi huwa sipendi kuona watu wazima wanatishiana kupigana halafu mwishowe wanaishia kutupiana maneno kama walevi.
 

Ni walevi... Wengi wao wanakunywa pombe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…