Nimewahi kufanya interview mbili za utumishi,kwenye written interview sijawah kukutana na swali kama hilo kama itatokea mara chache,hakikisha unasoma ulichofundishwa darasani,kama accountant soma vitin vya account kwa summary,kama auditor soma vya auditing, ulivyofundishwa vyote utavikuta,hata kwenye oral maswali mengi wanauliza ya professional yako,ila na maswali ya general knowledge usisahau kupitia,interview ya leo si ya kesho.gd luck