Waliokutwa na hatia ya mauaji ya RPC Liberatus Barlow wa Mwanza wahukumiwa kifo

Kuna mama mmoja wa kipare aliniuliza swali hilo unaninjua mimi ni nan? Nilimchapa makofi mda wa kama dakika mbili nikajikuta niko nyuma ya nondo

Ilikuwa ni usiku nashukuru nilitoka usiku huo huo baada ya mshua kupata taarifa
Dogo yani Ulipoteaga ghafla jamvin kama mwezi jua likichomoza. Hope everything is okay with you.
 
Mkuu chakaza hupo? Matumaini yangu umzima wa afya. Kitambo sana jamvini.
 
Nilipokuwa jela gereza la butimba mwaka juzi hii kesi ndio ilikuwa imepamba moto.....moja ya wahutumiwa wa kesi ile alikua ni mzee mmoja anaitwa mzee majige huyu alikuwa ni nyampala anakula ugali mbili....toka nimetoka jela nimekuwa katili sana.....WEWE AFISA ULIEKO TAMISEMI UNAEJIFANYA MZEE WA CONNECTION OMBA SANA MUNGU TUSIKUTANE KWENYE ANGLE......
 
Kinachonishangaza kwenye tukio lile, ni kupatikana haraka kwa wahusika, pamoja na kuwa ilikuwa ni usiku wa manane, watu wamelala. Lakini la Tundu Lissu, mchana kweupeeeee, watu wengi mitaani, miaka inapita, wahusika eti bado wanatafutwaaa!
Kwahiyo ulitaka magufuli akamwatwe ilihali Katiba imempa Kinga
 
Kumbe umewahi kwenda jela? Acha makosa usirudie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…