... Kama Ukizingatia wagombea waliojitokeza kugombea Urais TFF na swala la U- Simba na U -Yanga utaona kwamba wote walioomba nafasi hiyo ni wapenzi na wanachama wa Yanga... (Nyamlani na Malinzi) wito wangu kwao wakiendekeza U- Yanga wao katika utawala wa TFF watakuwa hawawatendei haki na wapenda soka na wa Tanzania, kwa ujumla.... soka litakuwa na malalmiko na penye malalamiko hakuna maendeleo ... Katibu mkuu wa TFF wa Sasa ni mwanachama wa Yanga pia na katika uongozi wake amekuwa akikurupuka na mambo mengi kupendelea au kuegemea upande mmoja.. soka haliendeshwi hivyo, soka ni mchezo wa kishabiki na mapenzi ya dhati... nawaomba sana wazingatie haki katika kuendeleza soka letu la bongo ................