Umepigiwa simu na nani? Kijana utatapeliwa, Magereza hawaajiri saizi lands baadae kidogo. Nina jamaa zangu huko Wizara ya Mambo ya Ndani wamethibitisha hilo.
kuna kazi za database walitoa muda kidogo,ndio wakapiga simu kwa ajili ya interview ukonga,ila sikumuelewa vizuri nilikuwa kwa daladala. sikujua hata ofisi zao huko ukonga ni mahali gani

ilikuwa kama wanashirikiana na wizara kama mradi flani sio wizara 100%, ila tatizo lao wanapiga simu tu badala ya kutuma email au sms hawajui wengine huwa kwenye daladala kelele au sokoni. kama kuna aliyeitwa anijulishe