binafsi ni mara yangu ya kwanza kuitwa na sekretarieti ya ajira, najua wapo wazoefu humu ndani walio kazii, walio wahi kuitwa na wengine wengi...hebu tupeane uzoefu interview za hawa jamaa zimekaaje.possible areas na vitu kama ivo..niko market research officer...