MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 859 Apr 18, 2012 #1 wanajamii please nifahamisheni kama udom imeishaajiri wale walioitwa kwa awamu ya pili( oral interview)
wanajamii please nifahamisheni kama udom imeishaajiri wale walioitwa kwa awamu ya pili( oral interview)
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,677 Reaction score 14,005 Apr 18, 2012 #2 aaah,kumbe watu washaitwa oral,daaaaa,nishaliwa dude,kama vp ngoja nizichange nitafute nauli niende hata china kutafuta maisha,manak bongo kila kazi natoswa maganga na wakati vyeti safi tu
aaah,kumbe watu washaitwa oral,daaaaa,nishaliwa dude,kama vp ngoja nizichange nitafute nauli niende hata china kutafuta maisha,manak bongo kila kazi natoswa maganga na wakati vyeti safi tu