Walioitwa kazini utumishi

Walioitwa kazini utumishi

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,868
Reaction score
1,291
vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha
 
Duuu ndomana AGC inachukua mda kuita watu takribani 317 kama kweli watatoa pesa ya kujikim kwa wote. All in all tusubiri tuone.
 
vp wadau jamaa huwa hawapewi allowance ya kuanzia maisha....maana wengine hupangwa mbali na nyumbani...na hawana uwezo kifedha
kupewa utapewa ni 455000...ila nakushauri uwe na hela yako pembeni ya kukusukuma angalau mwezi mmoja na zaidi kwa sababu mara nyingi hiyo pesa kuipata nayo inachukua muda sana japokua ni stahiki ya mtumishi!
 
duhh noma kweli hiyo pesa haitoshelez kabisa kutafuta chumba, kununua kitanda, godoro na vingine vdogo vya kuanzia.
 
Back
Top Bottom