Walioitwa interview VETA

Walioitwa interview VETA

john kebu

Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
19
Reaction score
7
Mnamo tarehe 25/8/2017 siku ya ijumaa,VETA walitoa shortlist ya watu kwa ajili ya kufanya interview siku ya tarehe 4/9/2017 katika kada mbalimbali zikiwemo Bursar,Accountants,Database Administrator,Network Administrator,ICT teachers na Computer Application Teachers.

Ile attachment ya shortlisted candidates imekaa ijumaa hadi jumapili cha kushangaza leo jumatatu tarehe 28/8/2017 nimeingia kwenye website yao nimekuta document imebadilishwa,candidates wamebadilishiwa nafasi walizo pangiwa na wamewekwa kwenye nafasi zingine kabisa.

Sasa huu ni uhuni hapo naanza kupata picha tofauti kabisa na nafikiri tayari wameshaanza kupanga matokeo yao,inawezekana kuna watu waliwapangia kwenye kada ambazo wanajua hawawezi kupata.

Naatach document zote mbili ile ya tarehe 25/8/2017 na tarehe 28/8/2017 yaani leo kwa ushahidi zaidi ili muone,lakini pia naomba waziri husika wa ajira aingilie kati hili suala kwasababu ninaona kabisa watanzania wenye sifa wanataka kuonewa kwenye hili na kukosa haki yao ya kimsingi.Kwa urahisi zaidi angalia candidate wa ICT na COMPUTER APPLICATION kwenye document zote mbili utaona ni jinsi gani hayo majina yalivobadilishwa

Ndimi muonewa:
 

Attachments

TUPEANE POSSIBLE ZA INTERVIEW VETA,KADA YA UHASIBU.
 
Msaada tafadhali, km kuna mwenye taarifa kuhusu usaili uliofanyika veta trh 4/9/2017, je waliochujwa kwa ajili ya next interview majina yameshatoka?
 
Msaada tafadhali, km kuna mwenye taarifa kuhusu usaili uliofanyika veta trh 4/9/2017, je waliochujwa kwa ajili ya next interview majina yameshatoka?
Ndiyo nimeyaona mahali katika ubao wa chuo cha utumishi wa Umma, wahi mkuu ukaangalie ama website ya VETA
 
Walioitwa Trh 4 ya mwez wa 9 walisha anza kazi oral yake ilifanyika Trh 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom