Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,691
.....Mimi naamini hawakuchaguliwa bali walichakachua uchaguzi katika majimbo mengi kwa kushirikiana na vyombo vya usalama na tume ya uchaguzi ya magamba.
Swali lako ni kama vile kusema unajisikiaje kuchagua huyo mwanandani wako??? hata wajutao hukaa kimya (in most cases)
BAK, ili kuweza kuchakachua CCM ilihitaji walau kura chache za kuanzia! In 2015 under normal circumstances I would expect CCM to get 0 votes, otherwise in a few places wapate kura 10-15 kwa maana ya mgombea, mkewe na small house kuipigia ccm!
Suala ni je, watz wangapi wana akili ya ku-connect matatizo yao na uchaguzi wao? Ama wanaskia tu kelele za 'msiwachague wapinzani, amani itatoweka'
there you go.... mie siku zote naanzia analysis za maisha yetu ndani ya familia kwani ndio the nucleus ya maisha yetuKamanda, ukishaona baba ana-declare mbele ya mama na watoto katikati ya mwezi kuwa nimefulia, ilhali katoka kwenye besdei ya rafiki yake wa kazini ujue kimeumana. Hapo mwanamke mwenye akili anajua hakuna mume hapa, na watoto watasema dingi vipi? Halafu baba hana solution, anasema tu anachekacheka anakuwa kamaliza! Hasemi hata tulime mchicha, tuuze maji etc! Kugugumia choice kuna mwisho wake banaa ndo maana kuna divorce!