Waliohitimu Kidato cha Nne, Soma hapa

CHUO CHA UFUNDI JITA

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
116
Reaction score
23
MOROGORO INSTITUTE OF CREATIVE TECHNOLOGIES AND ENTREPRENEURIAL STUDIES (MICTES)

CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA KOZI ZIFUATAZO;


  • Business Administration
  • Accountancy
  • Early Childhood Education (ECE)
  • International Tourism & wildlife Management
  • Full secretarial course (stage I & II)
  • Information Technology (IT) Sales and Marketing
  • Hotel Management
  • Human Resources Management
  • Procurement and Supply
  • Electrical installation
  • Community Development
  • Records Management
  • Front Office Operations
  • Journalism& Mass communication


Short Courses (Basic Certificate)
o Accounting packages – 3 months
o Certificate in computer Application - 3 months
o English Language course– 3 to 9 months
o Networking – 4 weeks
o Batik design – 3 weeks
o Entrepreneurship skills – 3 weeks

SIFA:
DIPLOMA
Aliyehitimu kidato cha 6 au mwenye certificate kutoka katika chuo kinachotambuliwa na serikali.

CERTIFICATE
Aliyemaliza kidato cha nne na kupata angalau alama D mbili

DARASA LA SABA NA KIDATO CHA NNE WENYE DARAJA ZERO
Atapata mafunzo ngazi ya certificate chini ya VETA

NB:
1. Masomo ya English, computer na Ujasiriamali ni compulsory na hayalipiwi kwa kozi ndefu zote
2. Kozi zote ni kwa ngazi za Certificate na Diploma

CHUO KIPO KIHONDA, MOROGORO
Kwa mawasiliano + 255 754 352 557

+255 716 400 018
+255 658 308 754

Website: www.mictesmoro.jimdo.com
 
Kwa mtu mwenye pass ya matokeo ya sasa form four inakuaje? Na vipi kuhusu ada kwa each course.mhula unaanza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…