Ila kusema kweli kulikuwa na haja ya kuangalia ma- Judge wasio na ethics za kazi ili waweze kuondolewa ktk kazi hizi kwani wameharibu kabisa heshima ya majaji nchiniZoezi hili mwishowe lingewaacha huru, watuwaovu kama Sabaya, na watuhumiwa wengine kama Makonda, Mambosasa, Kalemani, Siro, Goodluck na wenzake, na wale majaji wa mchongo aliowatengeneza marehemu na kuwaingiza mahakamani kwa lengo maalum. Kwa sasa watu hawa, hakuna uhakika wa wao kutoshtakiwa siku moja kwa jinai wanazotuhumiwa.
5. Generali Lengai Ole Sabaya1.MAGUFULI
2.CCM
3.NEC
4.VYOMBO VYA USALAMA
Wa 'Kutubu' kabisa ameshalala 'Mazima' tangia tarehe 17 Machi, 2021.Sasa tunaongelea maridhiano, tunaongelea uponyaji wa Taifa, lakini unaliponya vipi Taifa bila kuyatambua majeraha? Kwa nini tusifuate mfano ule wa Afrika Kusini?
Waliotenda makosa, walitakiwa kujitokeza, walitakiwa kueleza uhusika wao katika maovu, kisha walikutanishwa na waathirika, waliomba msamaha, na mwisho walipewa hati ya kinga ya kutoshtakiwa kwa makosa waliyoyatubia.
Hapa kwetu, washiriki wote wa uharibifu wa uchaguzi wa 2020, wangejitokeza na kuweka wazi ushiriki wao.
Waliompoteza Ben Sanane, Azory, Kanguye, waliomshambulia Lisu, walioharibu uchaguzi wa ndani ya CCM kuwapata wagombea wa ubunge, waliowatengenezea watu kesi za uhujumu uchumi, waliopora pesa iliyoporwa toka kwa walioitwa wahujumu uchumi, n.k. Wote wangetakiwa kueleza kwa uwazi juu uhusika wao. Na wale ambao wasingejitokeza au kuficha ugusika wao, wangefikishwa mahakamani kama wahalifu.
Zoezi hili mwishowe lingewaacha huru, watuwaovu kama Sabaya, na watuhumiwa wengine kama Makonda, Mambosasa, Kalemani, Siro, Goodluck na wenzake, na wale majaji wa mchongo aliowatengeneza marehemu na kuwaingiza mahakamani kwa lengo maalum. Kwa sasa watu hawa, hakuna uhakika wa wao kutoshtakiwa siku moja kwa jinai wanazotuhumiwa.
Rais Samia, ufanye mchakato wa maridhiano kuwa halisia.
Samia yeye haitajiki kutubu? Wakati walikuwa wanakimbizana kwa pamoja kuuwa upinzani na marehemuWa 'Kutubu' kabisa ameshalala 'Mazima' tangia tarehe 17 Machi, 2021.
Unamuuliza nani sasa hili Swali? Umeambiwa kuwa Mimi ni Msemaji wake?Samia yeye haitajiki kutubu? Wakati walikuwa wanakimbizana kwa pamoja kuuwa upinzani na marehemu
Ni msemaji wa marehenmu, samia akifa naye utamgeuka tu.Unamuuliza nani sasa hili Swali? Umeambiwa kuwa Mimi ni Msemaji wake?
AMEN, AMEN, AMENSasa tunaongelea maridhiano, tunaongelea uponyaji wa Taifa, lakini unaliponya vipi Taifa bila kuyatambua majeraha? Kwa nini tusifuate mfano ule wa Afrika Kusini?
Waliotenda makosa, walitakiwa kujitokeza, walitakiwa kueleza uhusika wao katika maovu, kisha walikutanishwa na waathirika, waliomba msamaha, na mwisho walipewa hati ya kinga ya kutoshtakiwa kwa makosa waliyoyatubia.
Hapa kwetu, washiriki wote wa uharibifu wa uchaguzi wa 2020, wangejitokeza na kuweka wazi ushiriki wao.
Waliompoteza Ben Sanane, Azory, Kanguye, waliomshambulia Lisu, walioharibu uchaguzi wa ndani ya CCM kuwapata wagombea wa ubunge, waliowatengenezea watu kesi za uhujumu uchumi, waliopora pesa iliyoporwa toka kwa walioitwa wahujumu uchumi, n.k. Wote wangetakiwa kueleza kwa uwazi juu uhusika wao. Na wale ambao wasingejitokeza au kuficha ugusika wao, wangefikishwa mahakamani kama wahalifu.
Zoezi hili mwishowe lingewaacha huru, watuwaovu kama Sabaya, na watuhumiwa wengine kama Makonda, Mambosasa, Kalemani, Siro, Goodluck na wenzake, na wale majaji wa mchongo aliowatengeneza marehemu na kuwaingiza mahakamani kwa lengo maalum. Kwa sasa watu hawa, hakuna uhakika wa wao kutoshtakiwa siku moja kwa jinai wanazotuhumiwa.
Rais Samia, ufanye mchakato wa maridhiano kuwa halisia.
Nimgeuke mara ngapi?Ni msemaji wa marehenmu, samia akifa naye utamgeuka tu.
NI maigizo tupuSasa tunaongelea maridhiano, tunaongelea uponyaji wa Taifa, lakini unaliponya vipi Taifa bila kuyatambua majeraha? Kwa nini tusifuate mfano ule wa Afrika Kusini?
Waliotenda makosa, walitakiwa kujitokeza, walitakiwa kueleza uhusika wao katika maovu, kisha walikutanishwa na waathirika, waliomba msamaha, na mwisho walipewa hati ya kinga ya kutoshtakiwa kwa makosa waliyoyatubia.
Hapa kwetu, washiriki wote wa uharibifu wa uchaguzi wa 2020, wangejitokeza na kuweka wazi ushiriki wao.
Waliompoteza Ben Sanane, Azory, Kanguye, waliomshambulia Lisu, walioharibu uchaguzi wa ndani ya CCM kuwapata wagombea wa ubunge, waliowatengenezea watu kesi za uhujumu uchumi, waliopora pesa iliyoporwa toka kwa walioitwa wahujumu uchumi, n.k. Wote wangetakiwa kueleza kwa uwazi juu uhusika wao. Na wale ambao wasingejitokeza au kuficha ugusika wao, wangefikishwa mahakamani kama wahalifu.
Zoezi hili mwishowe lingewaacha huru, watuwaovu kama Sabaya, na watuhumiwa wengine kama Makonda, Mambosasa, Kalemani, Siro, Goodluck na wenzake, na wale majaji wa mchongo aliowatengeneza marehemu na kuwaingiza mahakamani kwa lengo maalum. Kwa sasa watu hawa, hakuna uhakika wa wao kutoshtakiwa siku moja kwa jinai wanazotuhumiwa.
Rais Samia, ufanye mchakato wa maridhiano kuwa halisia.
Huyu ni zaidi ya shetaniNdugae kaamua kwenda kutubu huko kaamua kususia hadi bajeti.
Hajatoa mchango hata mmoja naona akili zimemrudi
Yeye hukumu yake ipo mbele ya mahakama kuu kuliko zote, Mahakama ya Mungu.Wa 'Kutubu' kabisa ameshalala 'Mazima' tangia tarehe 17 Machi, 2021.
Huyu ngwajima anatumia kilevi gani?.Mungu hadhihakiwi kamwe!!!!
Mihayo, Kaijage, Tigana na SiyaniIla kusema kweli kulikuwa na haja ya kuangalia ma- Judge wasio na ethics za kazi ili waweze kuondolewa ktk kazi hizi kwani wameharibu kabisa heshima ya majaji nchini
5. Generali Lengai Ole Sabaya