Utaratibu wa kura za maoni CCM umebadilishwa kumbuka hilo..majina yote ya wanaoomba kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi kabla ya kura ya maoni kamati kuu itapitisha majina 2 au 3 tu kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni..hilo unalosema linaweza lisitokee.