Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 568
kuna wanasiasa kadhaa, ambao kipindi tunaelekea uchaguzi mkuu,
Walikihama chama kwa mbwembwe za kipekee mbele ya uma, kwa kuita media na kutoa tuhuma lukuki, wakidhani kua huko wanakokwenda watashinda na hatimae kukwaa baadhi ya nyadhifa nyeti serikalini.
Hawa tunawaita opportunists.
Hao wataalamu wa kudandia lifti, walisahau kwamba CCM ina hazina ya watu kwa mamilioni wenye weledi kuwazidi.
Wakajua chama kitakufa, sasa wao wamekwisha kisiasa.
wamecheza kamari mbaya sana ya kisiasa.
Kurudi tena hawawezi maana wataonekana wasanii zaidi ya wanavyoonekana sasa.
Waungwana wanasema, " never burn bridges" kwa msisitizo zaidi yaani " usichome daraja" katika maisha yako.
Sasa wamebakia na aibu zao.
CCM tunazidi kuchanja mbuga.
2016, kazi tu.