Waliofanya Usaili wa Kuandika UDOM

Waliofanya Usaili wa Kuandika UDOM

amidu

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Habari wakuu kwa wale waliofanya usaili wa kuandika UDOM, kama kuna yeyote anaejua kinachoendelea tujulishane.
 
ila jamani mbona waliweka siku za usaili kwa baadhi ya fani but bila majina? na pia wakafunga kabisa website yao tukashindwa kutembelea? kweli hiki Chuo kina watu wake
 
[h=2]"waliofanya_usaili_wa_kuandika_ udom"[/h][h=2]Ni nini hiki jamani? :help::help:[/h]
 
hivi kinachoendelea nikipi wandugu tarehe walizotoa ndo hizi kwa yeyote mwenye mpya
 
Back
Top Bottom