GE2025 Waliofanikiwa kupenya ubunge kwenye uchaguzi wa 2025

GE2025 Waliofanikiwa kupenya ubunge kwenye uchaguzi wa 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mkoa wa Songwe - CCM imeshinda majimbo yote

Walioshinda ni

Philipo Mulugo (Songwe)
Japhet Hasunga (Vwawa)
Onesmo Mkondya (Mbozi)
David Silinde (Tunduma)
Kondesta Sichalwe (Momba)
Godfrey Kasekenya (Ileje)

Mkoa wa Mara - CCM iimeshinda majimbo yote

Mgore Miraji (Musoma Vijijini)
Mary Daniel (Serengeti)
Ester Bulaya (Bunda Mjini)
Jafari Chege (Rorya)
Profesa Sospeter Muhongo ( Musoma Vijijini)
Mwita Waitara (Tarime Vijijini)
Kangi Lugola (Mwibara)
Boniphace Getere (Bunda)
Dk Wilson Mahera (Butiama)
Ester Matiko (Tarime)

Mkoa wa Arusha - CCM imeshinda majimbo yote

Isack Joseph (Monduli)
Daniel Awakii (Karatu)
Paul Makonda (Arusha Mjini)
Yannick Ndonyo (Ngorongoro)
Dk Steven Kiruswa (Longido)

Mkoa wa Ruvuma - Upinzani umeshinda jimbo moja na yaliyosalia yamekwenda kwa CCM

Ado Shaibu (Tunduru) - ACT Wazalendo
Fadhili Chilombe - (Tunduru Kusini)
Omary Msigwa - (Madaba)

Mkoa wa Manyara - CCM imeshinda Majimbo yote

Edward Ole (Kiteto)
Emmanuel Khambay (Babati Mjini)
Emmanuel Nuwas (Mbulu Vijijini)
Asia Halamga (Hanang)
James Ole Millya (Simanjiro)

Mkoa wa Mwanza - CCM imeshinda majimbo yote

John Nzilanyingi (Nyamagana)
Kafiti William (Ilemela)
Eric Shigongo (Buchosa)
Hamis Tabasam (Sengerema)
Dk Sweetbert Mkama (Ukerewe)
Boniventura Kiswaga (Magu)
Cosmas Bulala (Kwimba)
Silvery Luboja (Misungwi)

Mkoa wa Mbeya - CCM imeshinda majimbo yote
Dk Tulia Ackson (Uyole)
Patrick Mwalunenge (Mbeya Mjini)
Baraka Mwamengo (Kyela)
Lutengano Mwalwiba (Busokelo)
Anthony Mwantona (Rungwe)
Bahati Ndingo (Mbarali)
Patali Patali (Mbeya Vijijini)

Mkoa wa Njombe - CCM imeshinda Majimbo yote
Joseph Kamonga (Ludewa)
Deo Mwanyika (Njombe mjini)
Daniel Chongolo (Makambako)
Festo Dugange (Wanging'ombe)
Edwin Swalle (Lupembe)
Festo Sanga (Makete)

Mkoa wa Kilimanjaro - CCM wameshinda majimbo yote

Profesa Adolf Mkenda (Rombo)
Saashisha Mafuwe (Hai)
Enock Koola (Vunjo)
Moris Makoi (Moshi Vijijini)
Dk Ngwaru Maghembe (Mwanga)
Dk Mathayo David Mathayo (Same Magharibi)
Anne Kilango (Same Mashariki)

Mkoa wa Kahama

Ngaiwa Benjamin (kahama Mjini)
Magangila Mabula (Msalala)
Emmanuel Charahani (Ushetu)
 
Mkoa wa Songwe - CCM imeshinda majimbo yote

Walioshinda ni

Philipo Mulugo (Songwe)
Japhet Hasunga (Vwawa)
Onesmo Mkondya (Mbozi)
David Silinde (Tunduma)
Kondesta Sichalwe (Momba)
Godfrey Kasekenya (Ileje)

Mkoa wa Mara - CCM iimeshinda majimbo yote

Mgore Miraji (Musoma Vijijini)
Mary Daniel (Serengeti)
Ester Bulaya (Bunda Mjini)
Jafari Chege (Rorya)
Profesa Sospeter Muhongo ( Musoma Vijijini)
Huu upuuzi embu tuacheni kidogo
Walikuwa wanashindana nani ???

Kwanza hili jukwaa si mmeshalifungia mnakuja huku kufanya Nini ?
 
Jerry Silaa tena na mlisema alipigwa chini? i hate lies
 
Ukonga, Nkasi kaskazini, Tunduru na kuna jimbo lingine ni ACT Wazalendo
 
Back
Top Bottom