Kuna kimchepuko kama unatoka Tegeta, badala ya kupitia Tangi bovu, unakunja kona barabara ya kwenda Africana unaenda upande wa baharini, mpaka mbele kwenye roundabout, unakuja kuunganisha mpaka unatokea Old Bagamoyo Road bila ya kupitia bonde la Tangi Bovu. Barabara hii imekuwa popular sana kuepuka foleni.