Mbona siyaoni? tuwekee link mkuu
ingia nacte.go.tz au leta jina apa nikuchekie
Mary julius
Christina Mlewa, ngazi ya cheti
NB. Majina yaliotoka ni wale wenye ufaulu kuanzia division 3
yaa ni 1 II na III kama ni 4 kwaheri
ipi diploma au cheti?
INYASI ROMAN ngazi cheti
cheti kk.
sijaona bt title yao inasema waliochaguliwa kujiunga na STASHAHADA ya kawaida elimu ya msingi (miaka miwili). sasa sielewi ngazi ya cheti si inaitwa ASTASHAHADA? Lakini apa sion majina ya ASTASHAHADA
niangalizie elimu ya kawaida miaka 2 au namba hi s1880/0193
ntajie jina mkuu
inyasi roman
yaa hiyo ndo serikali yetu..