Waliochaguliwa Mtwara Cohas

Waliochaguliwa Mtwara Cohas

Habari wana JF kwa wote waliochaguliwa chuo cha MTWARA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE tukutane apa
Hivi vyuo vya serikali afya COHAS mwaka huu wamechukua mwisho ufaulu wa ngapi kwenye comb ya PCB hasa clinical medicine
 
Hivi vyuo vya serikali afya COHAS mwaka huu wamechukua mwisho ufaulu wa ngapi kwenye comb ya PCB hasa clinical medicine
Hapo sijajua ila kila chuo huwa kina cut point yake na pia kuna bahati kuna mwingine matokeo yake madogo amepata mwingne amefaulu zaid lakin amekosa
 
Back
Top Bottom