Van Jecar Member Joined Sep 29, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Oct 15, 2015 #1 kuhusu kozi,,hostel,,mazingira ya chuo na mengine yaliyo ndani ya uwezo wangu utajibiwa
H hugama Member Joined Jul 3, 2015 Posts 34 Reaction score 4 Oct 15, 2015 #2 Van Jecar said: kuhusu kozi,,hostel,,mazingira ya chuo na mengine yaliyo ndani ya uwezo wangu utajibiwa Click to expand... vipi kuhusu upatikanaji wa hostel hapo chuoni
Van Jecar said: kuhusu kozi,,hostel,,mazingira ya chuo na mengine yaliyo ndani ya uwezo wangu utajibiwa Click to expand... vipi kuhusu upatikanaji wa hostel hapo chuoni
Van Jecar Member Joined Sep 29, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Oct 15, 2015 Thread starter #3 Hostel so far kupata ni bahati ya mtu coz zilizopo hazitoshelezi
H hugama Member Joined Jul 3, 2015 Posts 34 Reaction score 4 Oct 15, 2015 #4 Van Jecar said: Hostel so far kupata ni bahati ya mtu coz zilizopo hazitoshelezi Click to expand... Chumba Kinagharimu Shilingi Ngap Af Vinapatikana Karibu Na Chuo?
Van Jecar said: Hostel so far kupata ni bahati ya mtu coz zilizopo hazitoshelezi Click to expand... Chumba Kinagharimu Shilingi Ngap Af Vinapatikana Karibu Na Chuo?
S Salma Hashim New Member Joined Dec 29, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Oct 18, 2015 #5 Jaman nlikuwa nauliza ada znalipwaje hapo chuoni maana mm nataka kulipa kabisa