Unauhakika ni kanisa Katholiki ?
Maana kuna makanisa mengine yana
Maaskofu pia na wanaruhusu wao kuoa
Au kuolewa mfano . Anglican
Wameona mbali kuowa kwani katika biblia hakuna sheria inayomkataza Mchungaji asiowe, Wakatoliki walijipangia wenyewe sheria ya kutoowa Wachungaji kwenye biblia hakuna hiyo sheria. [h=1]Waebrania 13 3 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.[/h]
Maskofu wa kanisa Katoliki walioamua kuachana na useja wakipozi na wake zao mbele ya altare huko Nairobi nchini Kenya.Kushoto Askofu Emanuel Millingo wa Zambia na mkewe Bi. Maria Sung na Katikati Askofu Daniel Kasomo na waifu wake Maryanne akiwa kulia . Wachungaji wa kondoo wameamua mwelekeo mpya ..
Wameona mbali kuowa kwani katika biblia hakuna sheria inayomkataza Mchungaji asiowe, Wakatoliki walijipangia wenyewe sheria ya kutoowa Wachungaji kwenye biblia hakuna hiyo sheria. Waebrania 13 3 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
uwezi kuwatumikia mabwana wawili.. naogopa nikiendelea mjadala utaibua jazba lkn kwa wakatoliki wenye imani na uelewa tutaelewana.