Kingdom Animalia
Member
- Jan 26, 2017
- 63
- 69
- Thread starter
- #21
Hakuna cha kupigwa hauwezi kuanika Kila Jambo we kama unafikiria hilo pole sana Ila wenye vigezo hivyo watasaidiwa na siwez anika no ya Simu itakuwa usumbufu siyo kila kitu ni pesa hii ni fursa ya bure kabisaweka maelezo yote kama kweli unalengo la kusaidia watu wengi walivutw inbox wakapigwa .tahadhari
Sent from my Infinix-X554 using JamiiForums mobile app