Walioacha kazi au kuachishwa

Joined
Jan 26, 2017
Posts
63
Reaction score
69
Nina project nzuri kwa walio acha au kuachishwa kazi hasa katika Sekta ya Elimu na Afya na Kam uliacha au kuachishwa Ukapewa na Barua...kama we ni Mmojawapo basi usikate Tamaa Hiyo Elimu yako itakusaidia nicheki inbox kuna NGO Inakuhitaji nikudirect
 
Na ambao bado hawajapata hata hiyo kazi hawahitajiki???
 
Ásee

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilienda masomoni baada ya kumaliza niliomba kurudi lkn hakijaeleweka had ss hv
 
Mie sina hata kazi mkuu huwez nisaidia
 
Vipi kuhusu kilimo mkuu
 
Vipi kuhusu kilimo mkuu
 
Kwa anayetaka barua ya kuachishwa kazi ili achukue hiyo fursa namfanyia bureee!!
 
weka maelezo yote kama kweli unalengo la kusaidia watu wengi walivutw inbox wakapigwa .tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…